1

Mama wajawazito  mnatakiwa kula lishe bora na kutumia prenatal vitamins na Folic acid.

Wale mnaosema mkiwa namimba hamwezi kula matunda,mboga za majani na kula chakula sasa mtazaa mtoto mwenye matatizo ya kichwa kikubwa kama 👇👇👇 hapo chini

Punguzeni matatizo kwa watoto kama haya yanayo kwepeka chips sio mlo unaemtosheleza mtoto kukua na kuwa na afya.

Mamaz mshajua umuhimu wa prenatal vitamins na Folic acid sasa mjaribu kufunza wengine huko mitaani kwa pamoja tunaweza punguza hili tatizo.

Chapisha Maoni

  1. BetMGM Casino (RTP 96.55 % | DRMCD
    The BetMGM 전라남도 출장마사지 Casino 이천 출장샵 is powered by a software 당진 출장마사지 developer. Read more about 하남 출장마사지 the BetMGM Casino by DRMCD and its casino 태백 출장마사지 games and get a

    JibuFuta

 
Top