0




 Unga wa liwa
 Unga wa Manjano
Maji ya Liwa
Maji ya Maua Waridi
 Sabuni ya liwa

Sabuni ya manjano
Maelekezo
Chukua kijiko kimoja kikubwa cha unga wa liwa na kimoja kikubwa cha unga wa manjano, weka maji ya liwa au ya mauwa waridi upate uji uji mzito.
Mara 3-4 kwa wiki Paka usoni kaa dakika 30-60 alafu nawa na maji ya uvuguvugu,jikaushe vizuri.
Epuka kupaka poda,cream kali wakati unatibu chunusi
Unaweza paka mafuta ya ubuyu au ya mawese kidogo sana endapo utahisi ngozi imekua kavu sana baada ya kunawa. 
Tumia sabuni ya manjano,liwa au ukwaju asubuhi na jioni
Unaweza paka maji ya liwa au ya maua waridi usoni usiku na ukalala nayo.
Tiba hii inahitaji uvumilivu,ndani ya wiki mbili utaanza ona mabadiliko
Ndani ya wiki moja kama utaona mabadiliko ambayo sio mazuri basi unashauriwa kuacha mara moja
VYOTE VINAPATINA LOVE CLINIC 0755007592

Chapisha Maoni

 
Top