Headline
za bunge la kumi na moja zimeendelea tena leo September 9 2016 ambapo
katika kipindi cha maswali na majibu nakukutanisha na hii ya mbunge wa
viti maalum CCM Najma Giga anayetaka serikali kuanzisha sheria ya kuwahasi wanaume wanaokutwa na kesi za ubakaji.
‘Je,
serikali haioni haja ya kuweka adhabu tofauti ikiwemo kuwahasi wanaume
wanaopatikana na tabia ya kuwaharibu na kuwabaka watoto‘ –Najma Giga
Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Hamis Kigwangalla ametolea majibu kwa kusema…>>>’Serikali
inatunga sheria kwa kuzingatia katiba ya nchi na mikataba ya kimataifa
ya haki za binadamu, haitakuwa busara kuwahasi wanaume kwakuwa ni
kinyume cha haki za binadamu‘
Chapisha Maoni