Dalili Za mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi! (Fibroid)
Ni tatizo kubwa kwa wanawake ,wanaootwa uvimbe kwenye kizazi unaanza mdogo mpaka unakuwa iwapo hutotibiwa!
Utajuaje unahilo tatizo
1: kupata damu kwa wingi na unaweza pata hedhi kwa muda mrefu
2:Unakojoa mara kwa mara.
3:Maumivu makali ya mgongo na miguu.
4:Kukosa choo (constipation )
5:Maumivu chini ya tumbo
6:Maumivu wakati wa kupata haja ndogo (kukojoa)
7:Tumbo kuongezeka ukubwa
8:Maumivu wakati wa kujamiiana (sexy)
9:Kuhisi tumbo ni zito
10: Kupungukiwa damu
11:Maumivu ya kichwa
Mama mjamzito anaweza kuwa na fibroid kipindi cha ujauzito.2:Fibroid inaweza sababisha mwanamke akashindwa kupata mimba au kuharibu mimba aliyonayo. Unapohisi hizo dalili wahi kituo cha afya kwa vipimo zaidi
Tag rafiki au share wanawake wengine nao wasome
Chapisha Maoni